Ushirika wa mazao na maendeleo endelevu

MBIFACU LTD

MBINGA FARMERS CO-OPERATIVE UNION LIMITED

Ushirika, uzalishaji na maendeleo endelevu

AFF-RVM-MBI-TC-2023-25Usajili
Huduma na maendeleo ya ushirika wa kahawa ya ArabikaShughuli kuu
Mbinga Town, RuvumaEneo
MBIFACU LTD
Tovuti rasmi ya shirika
Kuhusu shirika

MBINGA FARMERS CO-OPERATIVE UNION LIMITED

Huduma na maendeleo ya ushirika wa kahawa ya Arabika

Usajili
AFF-RVM-MBI-TC-2023-25
Eneo
Mbinga Town, Ruvuma
Anwani ya posta
P.O. Box 100
Soma zaidi →
01

Dhamira

Kuimarisha huduma za ushirika, ushiriki wa wanachama na maendeleo endelevu ya mazao.

02

Dira

Kuwa shirika la ushirika imara, lenye uwazi na ushindani.

03

Misingi

Uadilifu, ushiriki, uwajibikaji, huduma na uendelevu.

Ujumbe wa viongozi

Uongozi unaowajibika kwa wanachama na umma

M
Mwenyekiti

Mwenyekiti

Karibu kwenye tovuti yetu rasmi. Mfumo huu unaimarisha mawasiliano ya wazi kwa wanachama, washirika na wananchi. Taarifa za uongozi na ujumbe kamili zinaweza kusasishwa kupitia mfumo wa usimamizi.
Faraja Michael Komba
Meneja Mkuu

Faraja Michael Komba

Uongozi wa utendaji umejikita katika huduma kwa wakati, taarifa sahihi na msaada wa vitendo kwa maendeleo ya ushirika. Tumia fomu za maombi na mawasiliano kufikia ofisi husika.
Miradi inayoendelea

Miradi na shughuli zinazoendelea

Tazama yote →
Hoteli ya MBICU
Unaendelea60%

Hoteli ya MBICU

Ukatabari wa hoteli ya MBICU

Soma zaidi →
Shamba la Ugano
Unaendelea40%

Shamba la Ugano

Shamba la mfano la kahawa ya Arabika katika wilaya ya Mbinga Mji, Mbinga Vijijini na Nyasa

Soma zaidi →
Mashirika yanayoshirikiana nasi

Mashirika na taasisi zinazoshirikiana nasi

TCDCTCDCTume ya Maendeleo ya Ushirika

Msajili na Msimamizi mkuu wa Vyama vya Ushirika Tanzania

COASCOCOASCOShirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika

Shirika lenye dhamana na mamlaka ya kukagua taarifa za fedha za Vyama vya Ushirika

MoCUMoCUChuo Kikuu cha Ushirika Moshi

Chuo Kikuu cha Elimu ya Ushirika Tanzania

TCBTCBBodi ya Kahawa Tanzania

Bodi ya usimamizi wa zao la Kahawa

WRRBWRRBBodi ya Usimamizi wa Stakabadhi ya Ghala

Bodi ya usimamizi wa masuala yote ya stakabadhi ya Ghala

SSE Family Company LimitedSSE Family Company LimitedTehama na Mawasiliano

Mtoa huduma wa shughuli za Tehama na Mawasiliano, muundaji wa Tovuti hii na mifumo ya uendeshaji wa ofisi ya MBIFACU Ltd

Unahitaji taarifa au msaada?

Tuma ombi la jumla na upate namba ya kumbukumbu kwa ufuatiliaji.

+255 742 532 852 · info@mbifacultd.or.tz