MBINGA FARMERS CO-OPERATIVE UNION LIMITED
Huduma na maendeleo ya ushirika wa kahawa ya Arabika
- Usajili
- AFF-RVM-MBI-TC-2023-25
- Eneo
- Mbinga Town, Ruvuma
- Anwani ya posta
- P.O. Box 100
MBINGA FARMERS CO-OPERATIVE UNION LIMITED
Ushirika, uzalishaji na maendeleo endelevu

Huduma na maendeleo ya ushirika wa kahawa ya Arabika
Kuimarisha huduma za ushirika, ushiriki wa wanachama na maendeleo endelevu ya mazao.
Kuwa shirika la ushirika imara, lenye uwazi na ushindani.
Uadilifu, ushiriki, uwajibikaji, huduma na uendelevu.
Karibu kwenye tovuti yetu rasmi. Mfumo huu unaimarisha mawasiliano ya wazi kwa wanachama, washirika na wananchi. Taarifa za uongozi na ujumbe kamili zinaweza kusasishwa kupitia mfumo wa usimamizi.

Uongozi wa utendaji umejikita katika huduma kwa wakati, taarifa sahihi na msaada wa vitendo kwa maendeleo ya ushirika. Tumia fomu za maombi na mawasiliano kufikia ofisi husika.

Shamba la mfano la kahawa ya Arabika katika wilaya ya Mbinga Mji, Mbinga Vijijini na Nyasa
Soma zaidi →
Mizani ya kidigitali Mbinga na Nyasa

Mkuu wa wilaya ya Mbinga Kisare Makori klia,akiagana na aliyekuwa mrajisi msaidizi wa ushirika Mkoa wa Ruvuma Peja Mhoja ambaye amehamishiwa Mkoani Tabora,wakati wa mkutano mkuu wa 24 wa Chama kikuu cha ushirika wilaya ya Mbinga Mbifacu uliofanyika jana mjini Mbinga

Wajumbe wa Bodi ya TCB wakipata nafasi ya kujifunza mawazo mapya kutoka katika sekta zilizoendelea

Meneja Mkuu wa MBIFACU Limited akisimamia ugawaji wa miche ya kahawa kwa vyama vya ushirika Mbinga

TCDCTume ya Maendeleo ya UshirikaMsajili na Msimamizi mkuu wa Vyama vya Ushirika Tanzania
COASCOShirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya UshirikaShirika lenye dhamana na mamlaka ya kukagua taarifa za fedha za Vyama vya Ushirika
MoCUChuo Kikuu cha Ushirika MoshiChuo Kikuu cha Elimu ya Ushirika Tanzania
TCBBodi ya Kahawa TanzaniaBodi ya usimamizi wa zao la Kahawa
WRRBBodi ya Usimamizi wa Stakabadhi ya GhalaBodi ya usimamizi wa masuala yote ya stakabadhi ya Ghala
SSE Family Company LimitedTehama na MawasilianoMtoa huduma wa shughuli za Tehama na Mawasiliano, muundaji wa Tovuti hii na mifumo ya uendeshaji wa ofisi ya MBIFACU Ltd

+255 742 532 852 · info@mbifacultd.or.tz